NI Mei 3, 2022 ambapo Wazri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro walifika Chanika kuzungumza na Wananchi walioshambuliwa na Kikundi cha Uhalifu ‘Panya Road’.
Nia na madhumuni ya Makutano hayo ni kudhibiti matendo hayo ya kihalifu yaliyoibuka hivi karibu yanayohusishwa na vikundi vilivyoibuka maarufu kama Panya Road.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka Chanika ambapo namna Mkutano huo ulipofanyika.