Kijana Tariq Kipemba aliyemwagiwa kimiminika kinachodaiwa kuwa ni tindikali anatarajiwa kusafirishwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu ambapo familia imeomba msaada kuwezesha kupatikana milioni 35 kwa ajili ya matibabu kutokana na hali yake kuwa mbaya.