Wabunge wameendelea kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2022/23 ambayo imeomba kiasi cha shilingi Tilioni 1.4.
Miongoni mwa wabunge waliochangia ni Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma na huu ndio mchango wake katika sekta ya Elimu.
MAJALIWA AFUNGUKA “BADILIKO LA MISHAHARA KUANZA MWEZI JULAI MWAKA WA FEDHA”