Ni Vilio na Simanzi vikitawala nyumbani kwa James Mhamba mwenye umri wa miaka zaidi ya Sitini ambaye alikuwa shabiki wa timu ya Yanga na mkazi wa Rwamishenye iliyopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera ambaye amepoteza maisha baada ya mechi ya simba na Yanga huku chanzo kikidaiwa kuwa ni furaha baada ya timu yake kuibuka na ushindi.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.