Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha imeahirisha kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake baada ya hakimu Dkt Patricia Kisinda aliyetarajia kutoa hukumu hiyo kutokuwepo Mahakamani kutokana na kuwa na majukumu mengine ya kiofisi.