Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa kesi mpya.
Sabaya amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Juni Mosi saa 11:40 asubuhi>>> taarifa zaidi itakujia hivi punde hapahapa millardayo.com