Baada ya kuwepo kwa uvumi wa taarifa katika mitandao ya kijamii zikieleza kuwa nchini Zimbabwe kumekuwa na biashara ya watu kuuza vidole vyao vya miguu na kujipatia pesa ambapo mwishoni mwa mwezi Mei mtandao wa Zambian Observer ulitoa pia taarifa kuhusu raia wa Zimbabwe wanalioripotiwa kukata vidole vya miguu na kuuza kisha wanunuzi wa vidole hivyo huwapa maelfu ya dola au magari ya kifahari na sababu ya wao kufanya biashara hivyo ikitajwa kuwa ni ukosefu wa ajira na kuongezeka kwa gharama za maisha nchini humo.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi na alichozungumza Balozi wa Tanzania nchini humo.