Ofisi ya Taifa ya Takwimu imeandaa mafunzo kwa wanahabari wa mitandao ya kijamii Tanzania ili kuwajengea uwelewa wanahabari hao kuhusu maandalizi ya Sensa ya watu na Makazi mwaka 2022.
Mafunzo hayo yameanza kutolewa leo Juni 14,2022 mjini Iringa yatahitimishwa hapo kesho Juni 15,2022.