Waswahili wanasema mwili haujengwi na matofali mwili unajengwa kwa kula ,kauli inaoneshwa kwa vitendo baada ya kijana Said Said Mkazi wa Manispaa ya Morogoro kuonesha uwezo wake wa kula kilo mbili za Wali na Maji lita moja kwa muda wa dakika zisizozidi mbili kwenye shindano Tonge Nyama lililofanyika Mjini Morogoro.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.