Live: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya kuahirisha Bunge Dodoma
Share
0 Min Read
SHARE
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linahitimisha shughuli zake za Bunge la Bajeti na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amelihutubia Bunge na kutoa hoja ya kuahirisha Bunge.
Unaweza ukabonyeza play kutazama matangazo ya moja kwa moja kutokea Bungeni Dodoma.