Hali ya hewa ya baridi kali katika baadhi ya maeneo Mkoani Njombe inasababisha shughuli za kiuchumi kuwa na ugumu katika utekelezwaji kutokana na wakazi wa maeneo hayo kupunguza muda wa kufanya kazi.
Sasa Ayo TV & Millardayo.com imekuletea hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.