AyoTV imefanya EXCLUSIVE interview na Konchesta Kokuongeza John Ishengi aka Mama Mawigi ambaye video yake ilisambaa akisoma wosia wa Marehemu ni Mrembo, ni Mama, na kwa umri wake wa Mikaa 63 ni BIBI ana watoto sita, ni mzaliwa Bukoba Kagera Mama mwenye Elimu yake na kipaji cha uchekeshaji.