Ni July 17, 2022 ambapo Simba SC ikiwa imeweka kambi nchini Misri kwaajili ya kujifua kujiandaa na michuano itakayoanza hivi karibuni.
Miongoni mwa yaliyoibuka mitandaoni ni baada ya Simba SC kucheza mechi ya kirafiki na Ismaily na kutoka mabao ya Sare yaani Simba SC 1- 1 Ismaily.
Wapo wanaosema kwamba Simba hawakucheza na Ismaily sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com tumekuletea alichokisema Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally na Haji Manara basi bonyeza hii video hapa