Ni July 19, 2022 ambapo Rais Samia amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jina (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Sasa hapa nimekusogezea ushuhudie alichowahi kuzungumza Rais Samia Mwaka 2021 mwezi mei alivyomuagiza Simon Sirro kumrudisha Camillus Wambura ili kukomesha Ujambazi, tazama hapa.
IGP MPYA WAMBURA ALIBAINI HAYA TUKIO LA MAUAJI ALILOFANYA HAMZA DSM