Baada ya Kamati ya maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania TFF kutangaza kumfungia Msemaji wa Yanga Hajis Manara kwa miaka miwili na faini ya milioni 20 baada ya kumkuta na hatia ya kumvunjia heshima Rais wa TFF Wallace Karia.
Msemaji huyo amesema neno lake moja tu kwa sasa ni Al-Hamdulillah, unaweza ukabonyeza play kufahamu mengine aliyoyaandika.