Rais Samia amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Wapya tisa na kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo amemteua Albert John Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Chalamila amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na Mwanza kabla ya uteuzi wake kutenguliwa.