Waziri wa Nishati, Mhe. Mh. January Makamba amesema Serikali haipeleki Umeme Vijijini kwa ajili ya kuwasha taa pekee bali kuchagiza pia Shughuli za kiuchumi ikiwemo uanzishaji wa Viwanda.
Amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda kinachochakata parachichi ili kutengeneza mafuta cha KUZA AFRIKA kilichopo wilayani Rungwe Mkoa wa Mbeya mbacho kimeunganishiwa umeme kupitia wakala wa Nishati Vijijini REA.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.