Ni Septemba16, 2022 ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Mhandisi Hamad Masauni na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,Camillus Wambura wanazungumza na Vyombo vya Habari kuhusu hali ya nchi ikiwemo sakata la Panya Road lilitokea hivi karibuni.