Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini Dkt. Hamisi Kigwangalla amekuwa ni miongoni mwa wabunge waliochangia hoja ya mbunge wa Biharamulo, Eng. Ezra Chilewesa aliyeomba Bunge kuahirisha shughuli zake zilizopangwa kwa muda ili kujadili tatizo la wanafunzi kukosa mikopo ya Elimu ya juu.