Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mapingamizi mawili yaliyowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya rufaa iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 14, 2022 na Jaji Salma Maghimbi ambayr anasikiliza shauri hilo,⁷ baada ya jana kusikiliza hoja za pande zote mbili.