Siku kama ya leo ni siku ambayo ipo kwenye kumbukumbu ya kilichotokea Mtwara kwenye lile sekeseka la kudai gesi ambapo Wananchi wa Mtwara wameamua kuifanya kama siku ya kukumbuka wale waliopoteza maisha kwenye sekeseke la Gesi.
Ingawa hii siku sio rasmi kiserekali, asilimia kubwa ya huduma mbalimbali mkoani Mtwara zimesitishwa ikiwemo daladala zinazotoka na kuingia katikati ya mji huo, maduka na baadhi ya huduma kama za sokoni.
Mwakilishi wa millardayo.com mkoa wa Mtwara katuma picha hizi kadhaa za mitaa mbalimbali ya mkoa wa Mtwara hali ilivyo tangua asubuhi ya May 22 2014.
Stori kama hizi ni halali yako zisikupite…. ili niwe nakutumia kila kinachonifikia ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, kama upo Facebook na Instagram pia unaweza kubonyeza FB na INSTA ili kupata kila stori inayonifikia zikiwemo videoz, vituko, pichaz, music na mengine yote.