Baada ya kusambaa kwenye mitandaoni video clip ikimuonesha Raia akimgomea Askari baada ya kusimamishwa barabara.
Sasa leo Feb 1o, 2023 Naibu Waziri Jumanne Sagini ametoa tamko juu ya video hiyo iliyosambaa huku akitoa maagizo kwa raia huyo kukamatwa na kufutiwa leseni yake.