Good News iliyonifikia ni kwamba maduka yote ya GSM yanaendelea kuwa karibu na wateja wake na time hii wamekuja na taarifa mpya kwa wateja wao wanaofanya manunuzi katika maduka yao.
Ni Kwamba Kuanzia Feb 10 mpaka leo Jumapili mteja anapofika katika maduka yao ya ikiwemo Splash, Babyshop, Max, Shoexpress, GSMsports basi mteja atakapofanya manunuzi ya bidhaa zao zaidi ya mbili basi atapewa bure bidhaa yoyote atakayohitaji.
Unachotakiwa kufanya kwasasa unatakiwa uwahi kwenye maduka yao na uweza kupata mchongo huo.
View this post on Instagram