May 23 2014 inaingia kwenye historia hata kwa Watanzania wenyewe manake kuona mkali wetu ameachwa kwenye kikosi cha Chelsea msimu ujao sio habari njema.
Kwa mujibu wa tovuti ya Premier League, Frank Lampard Ashley Cole na Samuel Eto’o inasemekana wameachwa kwa sababu mikataba yao na Chelsea imemalizika ambapo pia Mwingereza mwenye asili ya Tanzania Adam Nditi nae ameingia kwenye list ya wachezaji walioachwa na club hiyo.