Marc Anthony na mkewe mjamzito, Nadia Ferreira, kwa mara ya kwanza wamehudhuria tamasha la Univision la Premio Lo Nuestro 2023 kwenye Uwanja wa Miami-Dade Arena Alhamisi, kuashiria matembezi yao ya kwanza kwenye red carpet tangu watangaze kuwa wanatarajia mtoto wao wa kwanza pamoja.
Marc Anthony ambaye alitumbuiza na Maluma wakati wa sherehe na kutwaa tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka!,(Tropical album of the year Pa’lla Voy” )
Wenzi hao wapya walitangaza kuwa walikuwa wanatarajia mtoto wao wa kwanza pamoja – na wa saba wa Anthony – Siku ya Wapendanao, wiki mbili tu baada ya harusi yao iliyojaa nyota.
Post mbalimbali pamoja na maneno mazuri yaliyo pendezesha picha zao zilosindikizwa na ujumbe mzito wenye kuonesha bashasha ya mtoto wanae mtarajia
; “Baby is happy too!” Post ya Marc Anthon wakati mkewe akishika tuzo aliyo shinda usiku huo.
“Baby’s first premios,” post caption ya nadia kwenye upande wa instagram.