Dampo la pugu kinyamwezi Jijini dar es salaam limegeuka kuwa kero kwa madereva wanaofanya shughuri za kutupa taka eneo hilo kwa changamoto za miundombinu.
Baadhi ya madereva hao wameiomba serikali kuingilia kati ili kuboresha miundombinu ya eneo hilo ambapo hali hiyo imepeleke madereva hao kukaa foleni kwa muda siku 2 hadi 3 na kuhofia hali yao ya usalama kuibiwa
Mkuu wa wilaya ya ilala, Edward Mpogoro akiambatana na mkurugenzi wa ilala mara baada ya kufika eneo hilo kujionea hali ilivyo na hizi ndio hatua zilizochukuliwa.
PLAY :KERO YA DAMPO LA PUGU YAWALAZA SIKU 2 MADEREVA, MKUU WA WILAYA AINGILIA KATI NA KUTOA MAAMUZI