Ikiwa Ofisi ya Mufti Mkuu wa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakari Zubery kutangazia Waislamu wote kuwa kesho ndio sikukuu ya Eid Al Fitr.
Sasa Miongoni mwa watu waliotumia hii nafasi ya kufikisha ujumbe na kuwataka waislamu wote kusheherekea kwa Amani ni Mkurugenzi wa Kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohamed.
Akizungumza na Millardayo.com & Ayo TV alisema..’Kwanza kabisa nimshukuru Allah kwa kufanikisha kumaliza mfungo huu wa Ramadhan Salama kingine mimi na Familia yangu ya GSM Company kwa ujumla tunawatakia kila la kheri na Amani tele kwa Waislamu wote katika kusheherekea Eid Al Fitr’- Ghalib Said Mohamed