Good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba GSM wametangaza kuileta Weeknd Bonanza katika Maduka yao yote nchini.
Ambapo Mteja utafanya manunuzi ya bidhaa zao huku ikiwemo Punguzo la Asilimia 20% kwa kila kitu utakachonunua.
Na Ukiwa na Asante Card utapata nafasi ya kupata punguzo la asilimia 5% kila unapofanya manunuzi ya katika madukan ya GSM ikiwemo Splash, Babyshop, Max, Shoexpress, GSMsports.
Na pia kila Mwanachama wa Asante Card anauwezo kupokea taarifa maalumu kuhusiana na Mauzo pamoja na matukio maalumu kabla taarifa hiyo haijafika kwa umma.
Jiandikishe sasa na Asante Card kwenye maduka ya GSM ufurahie huduma zao na punguzo hilo la kibabe.
Weeknd Bonanza imetangazwa kuanzia April 28 mpaka Mwezi Mei 1, 2023 kwa Punguzo la asilimia 20% kwa kila bidhaa utakayoinunua wahi sasa.
View this post on Instagram