Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) ni miongoni mwa Watanzania waliopo Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Yanga wanarudiana na Marumo Gallants kesho saa 19:00 wanahitaji ushindi au sare yoyote ili kuweza kufuzu kucheza fainali ya Kombe la
Shirikisho Afrika kwakuwa wana faida ya goli 2-0 walizopata katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam.