Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze ameongea na waandishi wa habari wakiwa Afrika Kusini na kueleza kuwa wachezaji wote 23 wako vizuri.
Yanga wamefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja watakaochezea mechi kesho, Yanga tayari alishapata ushindi wa 2-0 katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam.