Ni Mei 17, 2023 ambapo umefanyika Mkutano wa Wafanyabiashara wa maduka makubwa Kariakoo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambapo unalenga kutatua changamoto zilizopelekea mgomo.
Mkutano huo umefanya katika viwanja vya Mnazimmoja pembeni ya ukumbi wa Anatoglo Jijini Dar es salaam.