Jennifer Eversole, kutoka California, aligundisha jicho lake kwa bahati mbaya baada ya kukosea chupa ya gundi ya ukucha na chupa ya matone ya macho.
Tukio hilo lilitokea wakati Eversole alipofikia kile alichofikiria kuwa matone ya macho ambayo huwa anatumia , lakini badala yake akachukua chupa ya super glue na katika kujaribu kurekebisha tukio hilo, alijaribu kuosha gundi hiyo kutoka kwenye jicho lake lakini akaishia kugandisha kope zake na alikimbizwa hospitalini ambapo wataalamu wa matibabu waliweza kutoa gundi hiyo na kuokoa jichp lake .
@mamaeversole
#CapCut Too soon?! #fyp #foryou #eyelashes #eyesgluedshut #hell
Ingawa inaweza kuonekana kuwa tukio la kuchekesha, kwa mtu kukosea- alisema “Matone ya macho yangu hukaa karibu na chupa ya gundi nanikama zimefanana na zinaukubwa sawa na sikuwa makini na sasa jicho langu limefungwa.”
@mamaeversole
Replying to @Sarcastic Moth #greenscreenvideo ❤️❤️💔💔