NI June 20, 2023 ambapo Wachezaji wa klabu Yanga Kibwana Shomari, Mshery, Na Job Dickson pamoja na mchambuzi wa Michezo George wametembelea Bungeni Jijini Dodoma kwa mwaliko maalum wa Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu.
Wachezaji hao Mavazi yao wameshonewa ama kuvalishwa na Mbunifu na Mjasiriamali Rashid Ally maarufu kama Chid Designer ‘Suti Bega’ ambae amekuwa akiwavalisha wachezaji na watu mbalimbali maarufu Tanzania.
Hizi ni baadhi ya picha kutokea Bungeni jijini Dodoma.