KAMPUNI ya Tigo, leo imetangaza kuzindua kampeni mpya inayojulikana kama ChaWote ambapo wateja watajishindia zawadi kambabe pale wanapofanya miamala kwa kutumia mtandao wa Tigo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Afisa Muu wa Tigo Pesa, Angelica Pesha amesema…..”Hii ni promosheni ya kipekee kwani kila mteja wa Tigo ni mshindi,” amesema na kuongeza kuwa.
“Kampeni hii inawapa wateja nafasi ya kujishindia zawadi za fedha taslimu hadi TShs 5, 000, 0000 na bonasi za papo hapo za hadi dakika 100 a SMS 100 kwa siku 90 . Ili kuweza kuwa mshindi kwenve kampeni hi ya ChaWote, wateja wa Tigo wajinunulie vifurushi vyao pendwa vya siku, wiki na mwezi kupitia Tigo Pesa kwa kupiga *150*01# au Tigo Pesa App.
Pia wateja wanapolipia huduma au bidhaa kupitia Lipa kwa Simu watapa bonus za papo hapo za Dakika na
SMS na kuingia kwenye droo inayowapa nafasi ya kujishindia hadi TSh 1,000,000 kila siku na TSh 5,000,000 kila mwezi”.