‘Kupitia mfumo wetu wa Wanachama wa matawi katika mwaka 2022/23 tumeweza kukusanya kiasi cha Bilioni 1.3 kama ada ya Uwanachama na Ushabiki kwaajili ya Klabu ya Young Africans’- Rais wa Young Africans, Hersi Said
‘Niwaambie Viongozi wangu kiasi hiki ni kidogo sana ukiangalia gharama za uendeshaji wa CLub Young Africans tulipofika sasa na kama sisi wanachama tutashindwa kuisupport timu yetu financial kuna sehemu Viongozi wenu tutakwama’- Rais wa Young Africans, Hersi Said
‘Na tunakwama sasa hivi tunapata misaada kutoka kwa wadhamini wetu nampigia simu Mheshimiwa Tarimba namueleza nimekwama naomba advance ya miezi mitatu na ananipa lakini pia niwashukuru Azam ambao wamekuwa wakifanya hivyo tunalia saa nyingine timu inahitaji kusafiri mechi mbili za kimataifa mwezi mmoja na wanatusadia na kwa kipekee nimshukuru GSM Ghalib kwa msaada wake mkubwa katika club hii’- Rais wa Young Africans, Hersi Ally Said
‘GSM amekuwa na mchango mkubwa sana wa kufanya mambo mengi ambayo hayapo katika mkataba lakini amekwenda mbali zaidi kutusaidia kupata gharama za kuendesha sehemu ya mahitaji ya timu, tunakushukuru sana Ghalib pamoja na watendaji wake’- Rais wa Young Africans Hersi Ally Said
2.Mhe. George Mkuchika
3.Mhe. Dr. Mwigulu Nchemba
4.Mhe. Tarimba Abbas
5.Mhe. Anthony Mavunde