Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Hesabu za serikali za mitaa Halima James Mdee akisoma taarifa ya kamati kuhusu utekelezaji wa maazimio ya bunge yaliyotokana na taarifa ya mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali kwa Ukaguzi wa hesabu za Serikali za mitaa kwa mwaka wa fedha 2020/2021.