Mbunge wa Viti Maalum Khadija Shaaban Taya (Keisha) amewataka watu wenye ulemavu kujiamini na kuthubutu kushiriki fursa zote zinazojitokeza na kuepuka kusubiri msaada kutoka kwa wengine Keisha amaesema hayo katika hafla ya chakula cha mchana alichokiandaa na kulichohudhuliwa na viongozi wa vyama vya watu wenye ulemavu wa Mkoa wa Dodoma na ametumia jukwaa hili kueleza umuhimu wa uwekezaji katika bandari ya Dar Es Salaam.