Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alikutana na Waziri wa Mambo ya nje ya India Mhe.Subrahmanyam Jaishankar kwa mazungumzo yaliyofanyika Ikulu, Zanzibar jana kabla ya hafla ya utiaji saini wa uanzishwaji wa Tawi la Chuo cha Teknolojia IIT, cha India Madras kwa Kampasi ya Zanzibar .