Uongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Temeke umefanya Semina maalumu kwa Viongozi wa UVCCM Jimbo la Temeke iliyohusisha Viongozi wa Matawi na Kata za Jimbo hilo Mafunzo hayo ya Uongozi na Itikadi ya Chama Cha Mapinduzi yalihudhuriwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia kundi la Vijana Ndg.RAMADHAN MLAO (MNEC) aliyekuwa mgeni rasmi wa Semina hiyo.