Simba SC wameingia ushirikiano na Benki ya NMB kwa ajili ya kufungua account za Mashabiki wake ambazo zitakuwa na faida mbalimbali.
Miongoni mwa faida ambazo atapata Shabiki wa Simba SC atakayefungua account ya Simba ni pamoja na Bima ya Maisha na Mikopo ya gharama nafuu.