Kundi la wanawake 100 kutoka chuo cha uongozi ambao pia ni Viongozi wa Taasisi za Serikali pamoja Taasisi binafsi wametembelea Kongani ya Viwanda SINOTAN INDUSTRIAL PARK iliyopo Kwala Mkoani Pwani
miongoni mwa vitu walivyoenda kujifunza ni maeneo ya kiuchumi na kuangalia fursa mbalimbali pamoja na kuendelea kupambanua nafasi za kiuchumi ambazo zipo kwa watanzania sio tu kwa watu wa Nje.