Ni Julai 26, 2023 ambapo Wachezaji wa Young Africans ambao baada ya kumaliza shamra shamra za Wiki ya Mwananchi, sasa wamerejea kambini kujiandaa ama wakifanya mazoezi yao ya kila siku kwaajili ya kujiweka sawa kuelekea msimu mpya wa 2023/24.
Hapa nimekusogezea video ushuhudie Kocha wao Miguel Gamondi amewapa Dakika 5 kwa kila mchezaji kuchezea Mpira