Sasa leo Julai 28,2023 Ijumaa wametangaza kupunguza bei bidhaa zao za GSM Home mpaka punguzo la asilimi 30 kwa bidhaa za ndani ambapo mteja wao unapofika katika Maduka ya GSM Home ikiwemo Mikocheni, Mlimani, Masaki, Salamander, Home Box Msasani, 🆕 Pugu, and Dodoma utaweza hudumiwa bidhaa zao zilizopunguzwa kwa asilimia 30% wahi sasa.
Kwa mawasiliano zaidi wapigie 0745 000 000 wakuhudumie kile unachohitaji kutoka GSM Mall.
Katika punguzo hiyo ya asilimia 30 likiwemo Tanzanite Sofa hili hapa litazame, wahi sasa katika maduka yao.