Serikali ya Urusi imetangaza kuzisamehe Nchi za Afrika deni la USD bilioni 23 ambalo ilizokopesha Nchi hizo, huku ikiahidi kutoa msaada wa pesa nyingine USD milioni 90 kusaidia maendeleo ya Afrika.
Rais Putin amesema hayo wakati wa mkutano kati yake na Viongozi wa Nchi za Afrika ambapo amesema Urusi itaendelea kutoa msaada zaidi kusaidia maendeleo ya Afrika.