Ni Wachezaji wa Young Africans ambao baada ya kumaliza shamra shamra za Wiki ya Mwananchi, sasa wamerejea kambini kujiandaa ama wakifanya mazoezi yao ya kila siku kwaajili ya kujiweka sawa kuelekea msimu mpya wa 2023/24.
Na leo Agosti 2, 2023 nakusogezea video hii ushuhudie wakiwa kwenye mazoezi ya Gym kuuweka mwili safi na imara.