Imeelezwa kuwa uwepo wa maboresho katika mifuko ya uwekezaji wa pa moja a uelewa wa sanjari na uongozi imara wa serikali ya awamu ya sita vimechabgia ukuaji wa asilimia 185 kwa mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS katika kipindi cha miaka 27ambapo umeweza kufikisha mtaji wa shilingi trilioni 1 na bilioni 535 hadi kufikiamwezi juni mwaka huu.
Hayo yamesemwa leo wakati wa mkutano wa taasisi ya uwekezaji pa moja ya uttamis ikiwa ni muendelezo wa mkutano wa ofisi ya msajili wa hazina na taasisi zake kwa wana habari ambapo mkurigenzi mtendaji wa UTT AMIS Hamis simon migangara amesema ukuaji huo umevuka malengo yaliowekwa ya kukusanya shilingi trilioni 1.3 kutoka shilingi bilioni 290 kwa mwaka 2019 huku mafanikio hayo yakionekana kuchangiwa na maendelwo ya teknolojia pa moja na maboresho katika mifuko inayounda taasisi ya utt amis .
Kwa upande wake daud mbaga afisa masoko mkuu wa taasisi ya uwekezaji yabutt amis amesema kutokana na mafanikio hayo utt amis imejipanga kuhakikisha inaendelea kitoa elimu ya uwekezaji ili kuongeza idadi ya wawekezaji waliopo kwa kutoa elimu katika shule .vyuo pa moja na kuongiza katika mitaala ya elimu ili kuwepo na somo la uwwkezaji kupitoa mifuko ya pa moja .