Na katika Uzinduzi huo wa Documantary ya Mabingwa hao wa Soka leo pia wametangaza hafla hiyo itahudhuriwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete siku ya Jumatatu Agosti 7, 2023 katika Kumbi ya Century Cinemax iliyopo Dar Free Market jijini Dar es Salaam.