Madereva daladala katika Mkoa wa Arusha wamegoma kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria kwa kile walichodai kuwa ni kutokufanyiwa kazi kwa mapendekezo yao ya kuruhusu bajaji kufanya kazi wanazozifanya pamoja nakuingilia njia zao.
Hali ya usafiri katika maeneo mbalimbali imekuwa na changamoto kutokana na watu kutumia maguta gari binafsi na bajaji huku nauli ikiwa shilingi elfu moja kwa mtu mmoja.