Mwanamke mmoja anadaiwa kuchukua naira milioni 1 sawa na zaidi ya Shilingi milion 5 za Kitanzania ambazo mpenzi wake alikuwa amehifadhi kwenye akaunti yake ya benki kwa madhumuni ya biashara ili kujinunulia iPhone mpya kabisa.
Pesa ilikusanywa na kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel kwenye akaunti ya mpenzi wake kwa nia ya kuanza nazo biashara ya kufua nguo lakini ikawa sivyo.
Katika utetezi wake, mwanamke huyo alisema kuwa alitarajia kutumiwa pesa kutoka Canada, hivyo aliamua kutumia pesa hizo kununua simu, kwa nia ya kuirudisha pindi anapokea pesa atakapotumiwa.
Mwanaume huyo alimkasirikia mpenzi wake na aliendelea kumfokea kwa hasira na kutaka waachane.
Tazama video hiyo hapa chini.
Think before you answer. Is the guy over reacting or this action is legit. If nah you Watin you go do.
— Bishop (LP) 𝕏 (@BishopPOEvang) August 22, 2023
This guy saved 1.6m in his girlfriend's account and she used his money to buy iPhone 14 pic.twitter.com/Pmx6DZHcoK