Baraza la umoja wa Afrika (PAPU ) limefunga rasmi mkutano 41 uliyoanza August 24 nakumalizika huku wakitoka na natokea chanya ya mambo mbalimbali yaliyozungumzwa ma kukibaliana kuhusu sera, sheria ,fedha pamoja na Utawala bora.
Akiwa katika mkutano huo uliofanyika Jijini Arusha Dkt Khalid s Mohamed waziri wa ujenzi, mawasiliano na uchukuzi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar anasemaje mkutano huo umekuwa na manufaa makubwa kutokana na kukua technologia hivyo serikali ya Tanzania na ya mapinduzi Zanzibar imewekeza katika mawasiliano kuanzia mjini mpaka vijijini ili tusiachwe nyuma.
Pia amesema kuwa kikao kilichofungwa Leo kilikuwa cha wataalamu hivyo wanachama wengine wanaendelea na MAJADILIANO ili kuweza kufikia malengo waliyo kusudia.
September 2 mwaka huu Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi jengo la PAPU.